Eni Kenya's FREDA campaign to promote circular economy and improve waste management in the country, Eni Kenya collects used cooking oil and gives it a “second life”. Every food business in the HORECA industry can join this initiative and become a more compliant and responsible company.
Used Cooking Oil: fry responsibly, dispose accordingly
Food businesses produce used cooking oil and fats through frying food. This food waste must be disposed following the local waste management regulations. When overused, it may also have health implications.
To improve food waste collection, Eni Kenya cooperates with the HORECA industry (hotels, restaurants, catering), food processing companies and food delivery platforms. HORECA businesses can dispose their Used Cooking Oil (UCO) correctly through Eni Kenya, contributing to a circular flow of waste disposal, and generate an additional revenue stream.
UCO collection is important because of many reasons:
If you are a used cooking oil producer or collector (restaurant, hotel, mall, food processing company, food delivery platform), Eni Kenya will provide a tailor-made collection flow that will fit your needs. Eni Kenya can:
If you are involved with the HORECA industry and you are interested in cooperating with Eni Kenya, do not hesitate to get in contact with us.
Eni Kenya is a branch of Eni SpA, an Italian integrated energy company. In Kenya we are developing a fully integrated circular and sustainable economy model along the entire biofuel production value chain.
Kaanga Vizuri, Vihalisi
Ili kukuza uchumi wa mzunguko na kuboresha udhibiti wa taka nchini, Eni Kenya hukusanya mafuta ya kupikia yaliyotumika na kuyapa "maisha ya pili". Kila biashara ya chakula katika tasnia ya HORECA inaweza kujiunga na mpango huu na kuwa kampuni inayofuata sheria na kukuza uendelevu.
Biashara za vyakula huzalisha mafuta ya kupikia yaliyotumika na mafuta kupitia kukaanga vyakula. Taka hizi za chakula lazima zitupwe kwa kufuata kanuni za usimamizi wa taka za ndani. Mafuta ya kupikia inapotumiwa kupita kiasi, inaweza pia kuwa na athari za kiafya.
Ili kuboresha ukusanyaji wa taka za chakula, Eni Kenya inashirikiana na tasnia ya HORECA (hoteli, mikahawa, upishi), kampuni za usindikaji wa chakula na majukwaa ya utoaji wa chakula. Wafanyabiashara wa HORECA wanaweza kutupa Mafuta yao ya Kupikia Yaliyotumika kwa kimombo-fupi “UCO” kwa njia ipasavyo kupitia Eni Kenya, ikichangia mtiririko wa utupaji wa takataka, na kutoa mkondo wa mapato ya ziada.
Mkusanyiko wa UCO ni muhimu kwa sababu ya sababu nyingi:
Ikiwa wewe ni mtayarishaji au mkusanyaji wa mafuta ya kupikia yaliyotumika (mkahawa, hoteli, maduka, kampuni ya usindikaji wa chakula, jukwaa la utoaji wa chakula), Eni Kenya itatoa mtiririko wa mkusanyiko ulioundwa mahususi ambao utatosheleza mahitaji yako. Eni Kenya inaweza:
Ikiwa unajihusisha na tasnia ya HORECA na ungependa kushirikiana na Eni Kenya, usisite kuwasiliana nasi.
Eni Kenya ni tawi la ndani la Eni SpA, kampuni ya nishati jumuishi ya Italia. Uendelevu ni sehemu muhimu ya biashara yetu na imeunganishwa katika shughuli zetu zote. Eni Kenya inatengeneza muundo wa uchumi wa mzunguko uliounganishwa kikamilifu pamoja na mnyororo mzima wa thamani wa uzalishaji wa nishati ya mimea.